Saturday, July 7

Juisi Ya Miwa

Matunda mengi yanaweza kutoa juisi amabayo inafaa kwa matumizi ya binadamu.. miwa pia katika ubunifu wa mwanadamu aliweza kugundua kuwa miwa ikikamuliwa inaweza kutoa juisi nzuuuri.... kama MT tulivoweza kuonjeshwa juisi ya miwa mitaa ya magomeni.
 Kitu kizuri ni kuwa Juisi ya miwa haiwekwi Sukari..... karibu Menu Time.

No comments:

Post a Comment