Wednesday, May 30

Tunda la Papai.

Kila mmoja wetu ana tunda ambalo analipenda zaidi ya mengine. Hebu leo tuangalie hili la papai, naamini lina wapenzi wengi. Karibu...
   Hapa papai lishamenywa tayari kwa kuliwa 

Wengine wanapenda kulila likiwa limekatwa nusutu, basi waondoa mbegu hizo kisha tayari kwa kuliwa.

 Laweza kukatwa vipande vidogovidogo tayari kabisa kwa kuliwa, na hii ni vyema zaidi kwa watoto maana wanachukua muda kula, haswa wale ambao hawapendi matunda.

 Rafiqs, ni hivi matunda huweza kuliwa wakati wowote na sio lazima baada ya mlo tu. Menu Time tunasema kila muda ni muda wa matunda.

No comments:

Post a Comment