Hoteli niliyopata kupumzikia yaitwa Msemo Hotel, hii ipo ufukweni mwa bahari. Basi sauti za maji ya bahari zinasikika uzuri kabisa. Ni hoteli tulivu inafaa kupumzikia baada ya kazi nzito na pale unapohitaji pumziko la akili. Jichange uende ukapumzike.
Nakuonesha chumba nilichoishi siku chache hizo
No comments:
Post a Comment