Monday, April 9

Mkoa wa Mtwara

      Moja ya mkoa ambao nilikua nina hamu sana ya kuutembelea na kujifunza pamoja na kuonja mapishi yao ni Mtwara. Nataka nishare nanyi yote nliyoyapata toka Mtwara, kuanzia mapishi, menyu mpaka historia yake. Karibuni Mtwara

 
   Nikiwa safarini, nilipata bahati ya kuona upinde wa mvua a.k.a rainbow. Nikaamini Mtwara mambo yote yatakua shwari.
    Karibu tukujuze zaidi yaliyojiri pale Mtwara...

No comments:

Post a Comment