Moja ya sehemu ambayo ni nje ya Dar lakini wapata kufika kwa urahisi aidha upande pantoni au uende kwa barabara ni Kogamboni a.k.a kigambonino.
Nilikatiza sehemu ya kupata mlo na vinywaji na hii ndio menyu niiliipata... karibuni kuona
Nikikumbuka jina la hii sehemu ntakuarifu
No comments:
Post a Comment