Monday, March 19

Bado kwenye The Safari Lager Nyama Choma Festival

     Tunaendelea kushare nanyi yale yaliyojiri siku ya juzi pale Postal grounds.
  Samaki walikuwepo

Hapa mkaa umewaka na unaendelea kutumika katika kupika hizo nyama

Pilipili kama inavoonekana, tamu munooo 

Nani kasema hawakufanya zaidi ya ya mwaka jana au niseme iliyopita, kipindi hiki hata shawarma zilikuwepo.
Caroline muhusika mwenyewe, kaniambiaje ujue inayofuata itakua balaa, ila kwa sasa wataipeleka Arusha kwanza kabla ya kurejea Dar iliyo salama... Stay tuned
Bado naendelea kuwaletea yaliyojiri

No comments:

Post a Comment