Sunday, March 18

The Safari Lager Nyama Choma Festival

   Taarifa ilitolewa mapema saaaana kupitia vyombo mbalimbali vya habari na hapa MenuTime blog ilitoka wiki iliyopita. Sasa baadhi ya wana MenuTime walikuwepo kuwasilisha blog hii na kuweza kuona na kuwarejea na yale yakiyojiri siku ile ya tarehe 17 ya mwezi wa 3 mwaka huu 2012.
    Na haya ndo yaliyojiri... Karibuni!!

Kulikuwa na kuku wa kutosha

Kuku wapo juu, mbuzi kwa chini

Mbuzi ilikuwepo ya kutosha mpaka muda wa kufunga 

Waliposema nyama nyama nyama, walimaanisha kutakuwepo na nyama. Hakika nyama ilikuwepo

   Naendelea kuwajuza yaliyojiri......

No comments:

Post a Comment