Wednesday, February 22

Mandhari ya Forodhani

Pata picha wanunuzi wanavyojaa pande za Foro, hapa unawaona wapishi wakiwa kazini

Familia zikipata chakula cha jioni hapo Forodhani

Paka wa huku kama vile wanafanya usafi kwa kula masalio, wanajua sahani zilipo na wanazifikia

No comments:

Post a Comment