Wednesday, February 22

Forodhani a.k.a Foro

   Bado tupo hapa tunaendelea kuwaonesha vyakula mbalimbali vinavyopatikana Foro, eneo lilipo Zanzibar lenye kila aina ya vyakula katika bei nzuri tu inayowezwa na watanzania.

Samaki nimehakikishiwa ni fresh kabisaa, sio wa kulala alafu kupashwa moto. Tupo kisiwani atii hivyo kila chakula cha leo-leo

Ukitaka miksi a.k.a urojoo, basi foro ndo nyumbani kwake. Unachanganyiwa, unakaa pembeni na bakuli lako wajinywea taratibu ukifaidi utamu.

Bado MenuTime inaarifu kutoka visiwa vya Zanzibar

2 comments:

  1. tunaomba recipe ya mixi pz.

    ReplyDelete
  2. Nikifanikiwa kurejea Zanzibar, ntaweza kuitafuta ila ntajitahidi kuitafuta hata ya Dar ili niweze kukujuza.

    ReplyDelete