Friday, February 17

Ugali wa Bada


Hii ni moja ya menu adimu kabisa kuipata katika hali ya kawaida, tunaongelea ugali wa Muhogo na Samaki wa Kukaanga, pamoja na maharagwe au waweza tumia mboga nyingine yeyote, chaguo ni lako. Imepikwa na timu nzima ya Menu Time. Karibu sana. Tutumie na wewe unachokula kupitia mail yetu menutimes@gmail.com

No comments:

Post a Comment