Friday, February 17

Umeipenda Hii.


Kama kawaida Team nzima ya Menu Time haiwezi pita pahala bila kupata mlo wa hapo, hapa wadau wa Menu Time walipita Mbalamwezi Beach iliyopo Mikocheni B, Dar es Salaam na kujipatia Prawns na Chips pamoja na mishikaki. Huduma zao ni nzuri na kama upo Dar es Salaam unataka menyu ya maana huku wapulizwa na upepo wa baharini basi tembelea hapo upate mlo wako.

No comments:

Post a Comment