Friday, February 3

Ugali toka kwa Mama Asnath

Katika pitapita zetu team ya menu time ilialikwa mitaa ya Mtoni Mtongani, tukapata kula menu hii, hapo pana ugali, dagaa wa nazi na mboga mboga. Nikaona itakuwa Busara kama nikiwajuza wadau. Mama Asnath kahaidi kutuandalia picha za maandalizi ya Menu kama hii. hivo zidi kututembelea.

No comments:

Post a Comment