Friday, February 3

Kitaani Pekee


Aina kama hizi za vyakula mbalimbali zinapatikana mtaani tu huwezi kuipata nyumbani wala hotelini, ni mtaani pekee. Menu Time tulipita mitaa ya Mwananyamala A, Mida ya Usiku tu ndo utaipata hii kitu. Hapo pana samaki, chapati, pweza na mchuzi wake, bagia na mapokopoko manjali. Karibu Mwananyamala.

No comments:

Post a Comment