Tuesday, February 21

Sauti za Busara - Zanzibar

   Sherehe ya Sauti za Busara hufanyika kila mwaka, mwezi wa pili huko visiwa vya Zanzibar, na mwaka huu ilifanyika kuanzia tarehe 9 - 12 ya mwezi wa pili 2012. Kulikua na wasanii toka Africa na nje ya Africa. Tunaweza kusema ni moja kati ya matamasha makubwa duniani.
  Timu ya Menu Time nayo ilikwenda kuona yaliyojiri, na tungependa kushare nanyi baadhi ya tuliyoyashuhudia tukiwa huko Zanzibar, almaarufu kwa jina la kisiwa chenye marashi ya karafuu.

 Hapa tukiwa ndani ya boti tunaelekea kisiwani.

Sifa nyingine ya Zanzibar ni kuwa ufukwe ni msafi sana, pata picha:

Halafu kuna majengo ya zamani nayo yanavutia. 

Tutaendelea kuwajuza yaliyojiri Zanzibar, Sauti za Busara 2012.

Kutoka visiwani, MenuTime inawaarifu.

No comments:

Post a Comment