Monday, February 20

Ikwiriri siku ya mwisho

   Baada ya kukaa na wenyeji wetu vyema, tukaaga siku ambayo ilitupasa kurejea Dar kabla ya kuendelea na safari nyingine.
   Kitu kimoja niligundua ni kwamba huku kuna nyuki wengi, na hawa nilikutana nao wakati twanywa chai asubuhi, lakini hawadhuru, wao wanafuata sukari na menginieyo wakatengeneze asali.
   Supu tuliipata pande hizo ni hii, ila kuna maandazi, chapati, chai, mishkaki na n.k. karibuni

No comments:

Post a Comment