Monday, November 28

Ujumbe

Rafiqs,

Kutokana na sababu za uboreshaji wa blog yetu, tumekuwa nje kidogo ya kuwapatia yaliyojiri kwenye upande wa Menyu. Tunaomba radhi kwa hilo na kwa usumbufu wowote uliojitokeza.
Tunawashukuru kwa kuwa wavumiliu na kuendelea kututembelea kila siku.Asanteni.

Tunajipanga vyema na tunaamini tutaweza waletea kilicho bora zaidi.

Wasalaam,
Timu ya Menu Time

No comments:

Post a Comment