Thursday, December 22

Mvua kubwa yanyesha Dar Es Salaam - Tanzania

Mvua kubwa inaendelea kunyesha Dar Es Salaam iliyoanza toka siku ya Jumanne alfajri. Mvua hiyo imepelekea kupoteza maisha ya watanzania kadhaa, na kusababisha uharibifu wa mali mbalimbali ikiwemo nyumba, barabara na madarajara kadhaa. Ililazimika kufungwa kwa baadhi ya barabara ili kuhakikisha usalama wa raia wa Tanzania.





  Picha kwa hisani ya Mjengwa blog na (Jiachie) Michuzi jr:

Watanzania wenzangu, tujiunge kuwasaidie wote walikumbwa na maafa haya. Tukiwa Tanzania na nje ya Tanzania.

No comments:

Post a Comment