Saturday, November 5

Kagera

Bado nipo kagera na naendelea kuwajuza kihistoria zaidi.

Ukiondoa kanisa, kitu kingine kilichoharibiwa pale Kyaka ni daraja ambalo ni njia kuu ya kuunganisha mpaka wa Uganda na Tanzania. Daraja hilo nalo lililipuliwa kwa nia ya kukwamisha mawasiliano ya barabara. Uzuri daraja jipya na imara zaidi lilijengwa na shughuli ziliendelea kama kawaida.
karibu kwenye picha zaidi.....

Mabaki ya daraja la zamani

Nikiwa nimesimama katika daraja jipya, linaonekana kidogo napiga picha lile lililoharibiwa

Kagera kuna historia!!! na naamini tumejifunza kidogo leo kwa lugha ya picha zaidi

No comments:

Post a Comment