Friday, November 4

Kagera

Waswahili wanasema "Kizuri kula na mwenzio" Najua wengi tunapenda kuijua Kagera zaidi ya upande wa Menyu, nkasema ntachukua historia ya mkoa huu na kuja kuwahabarisha.

Hapa ni Kyaka, kuna mabaki ya kanisa ambalo lililipuliwa na Iddi Amini Dada, enzi zile za vita ya Kagera.

 Binafsi naamini ni sehemu ya historia inayopashwa kuwekwa katika mazingira bora zaidi ya haya niliyokuta, ili tuweze kuenzi historia ya mkoa huu na kuwajuza taifa lijalo kuhusu historia yao.

No comments:

Post a Comment