Wednesday, November 2

Bukoba

Nilipata bahati ya kupita mkoa wa Kagera, na kama ilivyo kawaida ya Menyu Time ni kuonesha yale yaliyojiri katika mkoa wa Kagera.
Nianzie na Menyu niliyokutana nayo:

Hawa ni vipapatio wa kuku, wamekaangwa kisha wakamwagiwa salad.... mlo huu hutumika kama kianzio flani cha chakula. Vipapatio hawa walikua watamu, ndimu na chumvi vilisikika kwa mbaaaali pia, na kama nilisikia siki pia.

No comments:

Post a Comment