Tuesday, November 1

Supu ya kitaani

Mara baada ya kazi nzito ya wiki nzima, na pale marafiqs wanapoamua kujipongeza na wengine hupenda kuita starehe,  ambapo huangukia siku ya Ijumaa na Jumamosi, basi asubuhi ya siku inayofuata ambayo ni Jumamosi na Jumapili  Menyu hii inahusika sana.

Kwa pande za Kinondoni nilibahatika kukutana na supu hii ya ng'ombe na ndizi chemsha 2 .... Asikwambie mtu inabidi kuwatembelea hawa ndugu zangu.... Nawaongelea PR Camp

No comments:

Post a Comment