Monday, October 31

Tunaomba Radhi

Kutokana na sababu zilizokua nje ya uwezo wetu, tulishindwa kuwapatia habari mbalimbali za mapishi katika kipindi cha kama wiki 2 hivi, hii ilikua nje na mbali ya uwezo wetu yaani timu nzima ya Menu time.

Tunaomba radhi kwa hitilafu yoyote iliyojitokeza kutokana na kutokuwepo kwetu hewani.

Baada ya kuweza kutatua matatizo hayo, tumerejea tena na Tunaamini tupo vizuri kuwahabarisha mambo ya Menyu kila wakati kama ilivyo kawaida yetu.

Asanteni kwa kuwa wavumilivu, Karibuni tena kwenye Libeneke la Menu time.

No comments:

Post a Comment