Thursday, October 13

Safarini

Kuna Rafiq yangu mmoja amehamia mkoa wa Iringa kikazi, na wikiendi iliyopita nikajisogeza kwenda kumjulia hali na kupata kuuona huu mkoa wa Iringa alikotokea Chifu Mkwawa.
Kesho yake baada ya uchovu nikapelekwa sehemu yajulikana kama Mnadani kule Igingilanyi, huko bwana kunajulikana sana kwa shughuli ya ulaji wa nyama.
Aina hii ya menyu inatengenezwa haswa na wamaasai. Wanaweka moto katikati na kuinjika vijiti pembeni ambavyo vimetundikwa nyama, na vijiti hiyo vinajulikana kama Iljipeta.....
pata kuona mandhari ya hii menyu nayojaribu kuielezea..


Hapa ikiwa mbichi kabisaaaaa

Endelea kupata picha halisi

Ntakuhabarisha zaidi juu ya eneo hili.

No comments:

Post a Comment