Wednesday, October 5

Menyu ya Moshi

Mlo a.k.a Menyu hii ni maalumu kwa marafiq zangu waliotoka Moshi, waliniambia nikipita Golden shower nisiache kupiga picha na kuwajuza. Najua nimechelewa kidogo kwenye hili, ila niliwawakilisha vyema ndugu zangu Danny Ngowi, Treza, Janeth Mzungu na wengine wengi.
Kutoka Golden Shower nawaletea Msaranga Special ambapo ilitengenezwa na fried rice.


Mtanisamehe kwa kukosa kuwawekea namna ya mapishi, ila iwapo utapata kupita Moshi, chonde chonde nenda ukapate huu utamu.

No comments:

Post a Comment