Thursday, September 29

Pizza yaMoshi Leopard Hotel

Ugonjwa mwingine shida kuishi nao mpaka upate matibabu. Mara ya kwanza nilipogusa hii menyu ya Leopard yaani pizza yao, niliapa kila nkitua Moshi lazima ntaenda kuila tena.
Mara ya kwanza order hakuwafikia waandaaji vyema, ila nikacheki upya kwenye blog maana niliiposti hii. Nikaipata ilikua "Trilly Extra beef and Chicken pizza" and Nanasi and extra cheese yaani extras zilizidi, nadhani mpishi alichoka.
Sasa hii ndo picha halisi walifanya special delivery, Chezea Leopard hotel


Asante sana Priscus Tarimo. Rafiqs kihaki kabisa mkifika Moshi msiache kwenda pale, itabidi niongee na mpishi waipe jina jipya "Lulu pizza special".... karibuni

No comments:

Post a Comment