Monday, September 5

Noodles..... na kuku

Kuna mapishi mengi sana ya tambi a.k.a noodles, na waweza pika na mboga ya aina yeyote. Kuanzia nyama ya ng'ombe iwe ya kusaga au vipande vipande vya kukata hadi ya mbuzi. Waweza pika na mbogamboga hata na kuku, maini pia yafaa sana kupika na tambi, hii yote inategemea unapendelea mboga gani haswa.
Nyuma nilionesha namna ya kupika na nyama ya ng'ombe ya kusaga, naamini unakumbuka, kama hukumbuki rejea nyuma kiduchuuu utaona......

Leo nimeona hii tambi ya kuku a.k.a Chiken noodles.
Ntawajuza mapishi yake pindi ntakapokutana ana kwa ana na mpishi wa hii menyu. Ila waweza ijaribu kwa ujuzi wako halafu tutumie kupitia menutimes@gmail.com

No comments:

Post a Comment