Tuesday, September 6

Kifungua Kinywa....

Kuna aina kadhaa za vyakula ambapo mkazi wa hapa anaweza chagua. Asubuhi ya leo sijajua ni kwanini ila chaguo langu la kufungua kinywa lilikua hili:

Mayai yaliyokorogwa huku yanakaangwa a.k.a scramble eggs na bacons, nkashushia na kahawa nyeusi....
Rafiqs niambieni asubuhi nyie mnafunguaje kinywa???

No comments:

Post a Comment