Tuesday, September 6

Mwanza Mwanza ...

Kila Mkoa au niseme sehemu unakua /inakuwa na historia yake flani au sababu ya kwanini inapewa jina flani ambalo linajulikana sana. Bado nipo Mwanza a.k.a Rock City na kupitia picha hizi nataka uelewe kwanini panaitwa Rock City........ Karibu tuzuru pamoja mitaa ya Mwanza:
  • Kweli nahitaji kupaelezea hapa??? ..... Sawa...... Hapa ndo haswa picha inayokuja kwa yeyote anaposikia jina la Rock City
  • Nikakatiza mitaa ya Capripoint, aiseee sitaki ongea mengi emmm shuhudia picha zenyewe:
..............

  • Kuna mjengo niliuona kwa mbali kidogo, lakini si nkaweza kuzoom, karibu na wewe uuone:
  • Namalizia na hii kwa leo, kutokea baraza la chumba nacholala kwa sasa, napata kuona mandhari hii:
Upo Mwanza a.k.a Rock city na unataka kutuonesha maeneo mengine zaidi.... karibu na utume kwenye menutimes@gmail.com, vinginevyo ntakujuza zaidi katoka post zijazo. siku njema kwako!!

No comments:

Post a Comment