Friday, September 9

Menyu ya Samaki

Nkasema itakuaje nije Mwanza halafu nisitende haki ya kula samaki?? Inawezekana kweli???
Basi moja ya Rafiqs aitwa Rama wa Villa park resort alinialika chakula cha usiku.
Villa wanajulikana kwa mapishi ya samaki wa aina tofauti. Ukitembelea Mwanza kikazi au kusabahi fanya kupita pale uchague samaki wa mchemsho, kuchoma, kupaka na vinginevyo.
Mi nilichagua samaki foil, ana mbogamboga kadhaa na humvi kwa mbaliiiii.


Sitazungumza sana kuhusiana na menyu hii, kifupi ni tamu mno. Samaki amevuliwa siku hiyo hiyo very fresh. Hakika alikua mtamu..... sikusikitikia uamuzi wangu kutoa oda hiii

2 comments:

  1. nimevutiwa na chakula hicho jamani

    ReplyDelete
  2. Ukiwa pande za Mwanza pita Villa park Rafiq utapata utamu wote

    ReplyDelete