Tuesday, September 27

Menyu ya Moshi - Kilimanjaro

Jana nimesogea nyumbani Kilimanjaro. Na kama ilivyo ada nitakuhabarisha upande wa menyu, naamini safari hii tutapata mengi tu toka mkoa huu.
Nilikaribishwa na menyu hii toka Impala Hotel Kilimanjaro.

Kuna supu ya kuku a.k.a cream of chicken soup, noodles na chicken iliyopikwa na mchuzi wa tangawizi na uyoga. Kimsingi nimehamia kwenye white meat zaidi, lakini haimaanishi hatutangalia, jifunza na kujuzana kuhusiana na nyama nyekundu.
karibuni Kilimanjaro walipotokea wazazi wangu.

No comments:

Post a Comment