Tuesday, September 27

Safari Nyama Choma festival

Kila nikihisi nimemalizana na hii festival, moyo unakataa maana ushahidi bado ninao. Tutazungumza na dada Caroline Ndossi atukutanishe tena ASAP, maana ilikua tamu munooo.
Twende tumalizie ushuhuda wa siku hiyo ilivyofana hasa pale Menutime tunapohusishwa.

Mbuzi hao wanatendewa haki:


Sijawahi sikia nyama choma inafanyika bila ya hawa viumbe, wana umuhimu wao bwana, hakika kuku walikuwepo


Fanya juu chini ukiona tangazo lingine uhakikishe uwepo wako

Hii sahani inasubiria aive, apakuliwe kisha aliwe, dada yangu anawaita kuku wakiwa zaidi ya mmoja vyuku ati kwasababu ya kaweka wingi....


Menutime inawakilisha toka viwanja vya Postal ground kwenye Safari Nyama Choma festival. Karibuni sana

No comments:

Post a Comment