Tuesday, September 27

Safari Nyama choma festival ilifana ....

Menutime inaendelea kuwakilisha uwepo wake ndani ya shughuli ile ya safari Nyama choma festival, karibu kuendelea kupata picha


Mishkaki ilikuwepo ya ng'ombe, kuku, samaki yaani wewe tu na maamuzi yako ya siku ile.

Hakika wachagga walifurahia maana hapa waliguswaa

No comments:

Post a Comment