Saturday, July 23

Bukoba

Usiku kuna raha yake pande za Bukoba. Mkishatoka kula samaki pembeni ya ziwa, waenda sehemu tofautitofauti. Hapa panaitwa Q bar, mwenzenu nilidhani ipo Dar pekee.... Q bar ya huku ina mambo mengi mazuri, kuanzia kucheza pool, muziki mkubwa, marafiq na mengine mengi.
Kwenye menyu nako kumesheheni; ushahidi huu hapa:

Mbuzi choma, ukiagiza, fasta mzigo unakuja kwa niaba ya Q bar Bukoba, Karibuni! 

No comments:

Post a Comment