Saturday, July 23

Bukoba

Menyu ya saba tulipishana nayo Hoteli tuliyofikia. Wana menyu za kidhungu, kimexico, kihindi na kitanzania. Menyu zao ni nzuri na tamu. Hoteli yajulikana kwa jina la Victorius Perch, ipo mjini kabisa.  
Moja ya menyu zao ni hii;


Hapa kuna Pepper stake, chips na salad. Yummy, hakikisha unapita hapo hata kama hukufikia hapo.

No comments:

Post a Comment