Saturday, July 23

Mikocheni

Kila sehemu yenye chakula kizuri inasifika kwa aina flani ya upishi. Rose Garden iliyopo Mikocheni yajulikana sana mjini na nje ya Dar kwa upishi wa Makange. Kwenye listi kuna makange ya kuku, mbuzi, nakadhalika.
Nakuonjesha picha ya makange ya mbuzi.....

Kama ni mkazi wa Dar nashauri upitie hapo, kama watoka nje ya Dar basi hakikisha wapita hapo . Rafiq ukishatoa oda na menyu ikawa tayari, piga picha na ututumie kupitia meuntimes@gmail.com

No comments:

Post a Comment