Saturday, July 23

Bukoba

Menyu ya mwisho ilitokea palepale Victorius Perch Hotel. Na hapa jina la hiki chakula limenitoka, ila kilikua kitamu kama mlaji alivyotuhabarisha.

Kimekaa kama shawarma vile, kuna mchanganyiko wa mboga kadhaa na nyama ya kuku isiyo ni mifupa, halafu vikaviringishwa ndani ya chapati, na kuongezewa chips kwa pembeni. Hakika ni mlo tosha kabisa wa mchana au usiku.

No comments:

Post a Comment