Wednesday, July 20

Bukoba

Menyu ya pili tulikutana nayo inatengenezwa katika mgahawa mmoja mjini katikati Bukoba. Plate ni sh 4,000/= ya kitanzania tu na unapata mlo kamili.
Kuna wali mweupe, majani ya maboga, maharagwe, nyama ya kuku, ya samaki na ndizi zilizochanganywa na maharagwe almaarufu kwa jina la Matoke.

Karibuni Bukoba!!

No comments:

Post a Comment