Wednesday, July 20

Bukoba

Tulipofika tu tulipokelewa na sifa ya mlo wa Bukoba


Samaki wavuliwa jioni kisha tunawala usiku, yaani ni fresh ambayo haijalala. Hii ndio menyu ya kwanza

No comments:

Post a Comment