Tuesday, July 19

Bukoba

Nakupitisha kidogo tu sehemu mbalimbali za Bukoba nilizopiga picha wakati niko kule.

Binafs nimeipenda hii miti sijui ni urefu wake au ni nini.... ila inavutia


 Ujenzi wa tutazz unaendelea katika moja ya barabara.


Daraja lipo njiani ukielekea boda ya Uganda, niliambiwa na wenyeji wangu kuwa hili lilijengwa baada ya la zamani kulipuliwa katika vita vya enzi zile.

Masalio ya kanisa baada ya kulipuliwa katika vita.

Bukoba pazuri sana, ukipata muda safiri upajue zaidi, na ututumie picha na kushare na wengine nje ya Bukoba kupitia menutimes@gmail.com

No comments:

Post a Comment