Wednesday, July 20

Bukoba

Ya tatu Menyu tuliipata toka kwa mwenyeji wetu Emmanuel, ambayo tulisaidiana kuipika, na huu ndio ushaidi wetu;


Hapa kuna viazi mviringo vilivyochemshwa na vitunguu maji kisha vikakaangwa kidogo, samaki wa kukaanga pamoja na mayai yaliyokaangwa huku yanavurugwa a.k.a scramble eggs yakiwa yana vitunguu maji, nyanya, pilipili hoho na chumvi kidogo.

Asante Emmanuel Greyson

No comments:

Post a Comment