Thursday, November 8

Inter College Pool Party ---- Jumamosi hii!!

Kwa mara ya kwanza kabisa, vijana wa mjini hapa wanawaletea kwenu Inter College Pool Party mjini Dar iliyo salama. Party hii itafanyika siku ya Jumamosi ya tarehe 10 mwezi huu wa Novemba, ambapo mambo mengi matamu yatakuwepo kama asemavyo msemaji mkuu wa party hii.
   Party itafanyika pande za Kiota jungle a.k.a kwa mzungu, na ndani ya party hii utapata fursa ya kukutana na intellectuals kuongea nao, kushare ideas and dance with them !!!
 
Mandhari inavutia mno, hivyo basi usifanye kukosa!! Kutakua na maDjd wenye uzoefu wa hali ya juu, ambao wataporomoshe muziki utakaokufanya uenjoy Saturday yako kwa kujumuika nasi.

 
 Fanya hivyo tukutane Jumamosi hii kwenye hiii party, na kama unahitaji maelekezo zaidi tafadhali wasiliana nasi.

No comments:

Post a Comment