Wednesday, May 28

Moja ya mgahawa wa Dar iliyo salama

Wakati tukiwa likizo tulipita mgahawa mmoja Dar iliyo salama wajulikana kama Cape town fish market na hii ndio menu tuliyopishana nayo

  Kuna mchanganyio wa menu kadha wa kadha na mwisho wa siku mlo mzima Ulikua mtamu. Tujuze ukiwa pale wapendelea menu gani???

No comments:

Post a Comment