Friday, May 2

Mchana huu

 Mchana wa leo, tukiwa pande za Kinondoni, tulipishana na menu hii katika kutuliza njaa zetu.
  Kuna ugali, mboga ni maharagwe, mlenda na kipande cha kuku alokaangwa

  Tujuze mchana wa leo umekula nini? au ifikapo mida ya mchana hupendelea kula menu gani na maeneo gani?, kupitia menutimes@gmail.com

No comments:

Post a Comment