Monday, May 26

Kifungua kinywa

Tumekua kimya kwa mda, yaani tulikwenda likizo fupi bila hata ya kuaga, na kwa hilo tunaomba radhi.Tunaamini nyote mpo salama na mwaendelea vyema na kwa ajili hiyo tunamshukuru Mwenyezi Mungu.
  Katika likizo yetu tulipata kutembelea Bagamoyo yaani mkoa wa pwani na tunashare nanyi menu tulizopishana nazo. Tunaanza na menu ya asubuhi a.k.a kifungua kinywa a.k.a breakfast
   Kuna toasted bread yaani mikate iliyookwa na nyanya zilizokaangwa.

                        
     
Kuna chai yenye maziwa na kahawa

   
   Kuna mayai yaliyovurugwa a.k.a scramble eggs

  
 Na ndivyo siku yetu ilivyoanza pande za Bagamoyo.
  Twawatakia Jumatatu njema.

No comments:

Post a Comment