Monday, June 3

Lunch ya Nyumbani Lounge

   Kutoka pande za Nyumbani lounge, iliyopo mitaa  ya best bite hapa, moja ya siku tulienda pata msosi, na hii ndio menu yao, karibuni sana Rafiqs.


   Kuna kisamvu kidogo, chapati maji, pilau, bamia na supu ya mboga mboga pembeni. Karibu kutujuza menu zako kupitia menutimes@gmail.com

No comments:

Post a Comment