Kutoka kwa mwanafamilia, partner, mdau na Rafiq wa Menu Time, ameshare nasi menu aliyoipata jana usiku akiwa nyumbani kwake.
Anasema aliipika mwenyewe na huyu ni bwana Tyik
Kuna wali mweupe pamoja na rosti ya vipande vya kuku vilivyoungwa na tui la nazi. Pembeni alishushia na maji ya matunda ya machungwa, maana msimu si ndo huu!! Karibuni!!
Hongera sana bwana Tyik, tuwe tunakaribishana
ReplyDeleteAsante sana Legerete, tutakukaribisha siku za karibuni. Tuambie kipi ni chakula upendacho zaidi?
ReplyDeleteAsante sana Legerete, tutakukaribisha siku za karibuni. Tuambie kipi ni chakula upendacho zaidi?
ReplyDelete