Leo katika pita pita zetu wana Menu Time tukapitia mitaa ya Mtoni Kwa Aziz Ali tukatua Restaurant moja yaitwa Halal Restaurant kujipatia mlo wa mchana, na hiki ndicho tulichokikuta
Basi baada ya menu kuwekwa mezani ikabidi niuweke katika mazingira ya kuufanya uliwe, hapa ni muonekano baada ya menu kuwekwa tayari
Chakula chao ni kizuri sana ukipata muda usikose kupita hapo Halal Restaurant Mtoni kwa Aziz Ali
karibu sana Menu Time
No comments:
Post a Comment