Sunday, March 11

Safari Nyama choma competition - Leaders

   Leo Jumapili ya terehe 11.03.2012 kulikua na mashindano ta nyama choma, ambapo wanaoshindana ni mabaa mbalimbali kutoka Dar iliyo Salama. Mchakato huu ulianza siku kadhaa zilizopita na leo ndo ilikua kilele cha mashindano haya.
   Zilibakia bar 5 zinazoshindana, na walikuwepo wakiuza nyama mbalimbali, kuanzia ng'ombe, mbuzi na kuku. Kulikua na ndizi, viazi, mayai, pilipili n.k
   MenuTime kama kawa tulikuwepo kuwakilisha na kuchukua yaliyojiri ndani ya viwanja vya Leders
Muonekano ndo ulikua hiviiiii

Kutoka Kisuma bar, nilioneshwa nyama na mpishi. Mbavu hiiii

Kulikua na kila namna ya upishi, wewe tu na chaguo lako

Kuku pia walikuwepo

Tutaendelea kuwajuza yaliyojiri..... karibuni

No comments:

Post a Comment