Wednesday, February 1

Mwanza na Samaki

   Japo niliongelea uwepo wa nyama za aina nyingine, ila Samaki Mwanza ndo nyumbani kwao atiiii.
Toka kwa Rafiq aliyepo Mwanza a.k.a Rock city anatuonesha moja ya mlo uliotengenezwa kutokana na Samaki.


Yaitwa "Nile perch in parsley sauce". Binafsi nimevutiwa na mbogamboga hizo, yaani kama una mkakati wa kufanya diet, hapo ndo mahali pake.
  Kuna sababu za kimuhimu kutafuta namna ya kupika menyu hii, na kama we wajua basi tujuze nasi ili na wengine wajue, kupitia menutimes@gmail.com
  Rafiq Asante sana kwa kututumia picha ya menyu hiyo, kutoka Mwanza.

No comments:

Post a Comment