Thursday, October 6

Salamu kutoka Kilimanjaro

Narejea Dar es salaam, nawaaga baada ya kuinjoi mno kwa menyu, hali ya hewa, marafiq na mengine mengiiii.
Ntarejea tena Kilimanjaro, Moshi. Ila shukrani zangu toka moyoni ni kwa Golden shower, Kilimanjaro Impala hotel, Moshi leopard Hotel, wananchi waishio maeneo ya Nyumba ya Mungu na marafiqs wengi niliojuana nao nikiwa Kilimanjaro, mkoa niliotokea.


Urithi wetu, Mkoa wetu, Nchi yetu. Toka Kilimanjaro ni mimi LJM wa Menutime

No comments:

Post a Comment